Phina, a talented Tanzanian female singer-songwriter, has once again mesmerized her listeners with the captivating song “Rafiki.”
Also, “Zinduna,” her most recent release, is followed by this new seductive track.
Lyrics
VRESE 1
We si mwana, we mwanahamisi
Nikiwepo unacheka,nikisepa unanidiss
We si mwana, we mwanahamisi
Nikiwepo unacheka, nikisepa unanii
Wana wengine, waseeee
(wasengenyaji)
Hatuwataki waseeee
(wasengenyaji)
Wana wengine, waseee see see
(wasengenyaji)
Hatuwataki waseee seeee
(wasengenyaji)
(Sina Nyota ya mtende, Kuotea Jangwani)
(Nina Nyota ya kitanda, nikipendwa naekwa ndani) x 2
CHORUS
Unanidis mie Malaya,mie mlevi
Eti nimeachika, kodi sijalipa
(Bado hujasema)
Mie Malaya, Mie Mlevi
Nimeachika, kodi sijalipa
(bado hujasema)
Namtafuta rafiki rafiki
Rafiki yako nani nani nani
Rafiki yangu shabiki Shabiki shabiki
Basi cheza nae nae nae ( hayaa)
Kidege zunguruka , ukitaka inama inuka x 4
VERSE TWO
We si mwana, we mwanahamisi
Nikiwepo unacheka,nikisepa unanidis
We si mwana, we mwanahamisi
Nikiwepo unacheka, nikisepa unanii
Wana wengine, waseeee
(wasengenyaji)
Hatuwataki waseeee
(wasengenyaji)
Wana wengine, waseee see see
(wasengenyaji)
Hatuwataki waseee seeee seee
(wasengenyaji)
Doli doli, doli samwela
Unaringia pipi, sifa ya mwanaume hela
Doli doli, doli samwela
Unaringia ndevu, sifa ya mwaume hela
CHORUS
Unanidis mie Malaya,mie mlevi
Eti nimeachika, kodi sijalipa
(Bado hujasema)
Mie Malaya, Mie Mlevi
Nimeachika, kodi sijalipa
(bado hujasema)
Namtafuta rafiki rafiki
Rafiki yako nani nani nani
Rafiki yangu shabiki Shabiki shabiki
Basi cheza nae nae nae ( hayaa)
Kidege zunguruka , ukitaka inama inuka x 4
The talented record producer Alonemy was responsible for this fantastic music
Leave a Reply